Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,
IGP Ernest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa
jana wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi
wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma.
Picha zote na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhe.Mathias Chikawe (katikati) wakiongozana na Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi.
Chiku Galawa kuingia ukumbini kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa
maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani
Baadhi ya maafisa wakuu waandamizi
wa Jeshi la Polisi wakiimba wimbo wa maadili ya ofisa wa polisi jana
kwenye ufunguzi wa mkutano wa wakuu unaoendelea Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment