Mkurugenzi
wa Mtandao wa Fullshangwe Bw. John Bukuku kushoto na Mkurugenzi wa
Mawasiliano CCM Bw. Daniel Chongolo katikati wakipata picha ya pamoja na
watalii katika ufukwe wa Kibigija wakati Katibu Mkuu wa CCM
alipotemelea kilimo cha Mwani kijijini hapo.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akielekezwa njia
ya kupita na Mwakilishi wa jimbo la Muyuni Mh. Jaku Hashim wakati
alipotembelea kikundi cha akina mama wanaojishughulisha na kilimo cha
Mwani baharini.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na Mwakilishi wa jimbo la Muyuni Mh. Jaku Hashim wakishiriki kupanda zao la Mwani baharini.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na Mwakilishi wa jimbo la Muyuni Mh. Jaku Hashim wakishiriki kubuna zao la Mwani baharini.
Mmoja wa akina mama wanaojisshughulisha na kilimo hicho akitoa maelezo kwa waandishi wa habari.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kubeba mawe katika ujenzi wa ofisi ya CCM tawi la Kiunga Mtende jimbo la Muyuni.
Mbunge wa jimbo la Makunduchi Samia Suluhu
akizungumza wakati akizungumza neno wakati wa kuweka jiwe la msingi
katika jengo la ukumbi wa mikutano wa ofisi ya wilaya ya Kusini.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi katika ukumbi wa ofisi ya CCM wilaya ya Kusini kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi Mh. Mwakilishi wa jimbo la Makunduchi Haroun Ali Suleiman.
Baadhi
ya wana CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara huyu alikuwa amevaa miwani
ikionyesha mwaka 2015 kama ishara ya mwaka muhimu wa Uchaguzi na kura
ya Maoni ya Katiba mpya inayopendekezwa.
Mbunge wa jimbo la Makunduchi Mh. Samia Suluhu akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Kizimkazi Mkunguni Makunduchi.
Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo.
Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wananchi katika
mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kizimkazi Mkunguni jimbo la
makunduchi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kizimkazi Mkunguni jimbo la Makunduchi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiakikabidhi majiko kwa vikundi vya akina mama wa makunduchi yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Makunduchi Mh. Samia Suluhu na Mh. Mwakilishi wa jimbo la Makunduchi Haroun Ali Suleiman.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki za matairi matatu na za matairi mawili kwa vikundi vya mazingira zilizotolewa na Mbunge wa jimbo la Makunduchi Mh. Samia Suluhu na Mh. Mwakilishi wa jimbo la Makunduchi Haroun Ali Suleiman.
TAN

Bayport

Kikoa

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, January 26, 2015
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ASHIRIKI KUPANDA ZAO LA MWANI BAHARINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment