TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Friday, February 20, 2015
DR SHEIN AKUTANA NA WIZARA YA UWEZESHAJI USTAWI WA JAMII,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kuulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana ,Wanawake na Watoto
katika mkutano wa siku moja uliozungumzia
utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.]
Watendaji wa Wizara ya
Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana ,Wanawake na Watoto
wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Bi Zainab Omar Mohamed (hayupo pichani)
alipokuwa akitoa
Taarifa ya Ute
kelezaji wa
mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika mkutano uliofanyika jana
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
mbele ya Mwe
nyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
[Picha na Ikulu.)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment