Vijana wilayani Kasulu wapewa somo kuhusu fursa za Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Bw. Bernard Ntikabuze
(kushoto) akiagana na akipeana mkono na Afisa Vijana kutoka Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga wakati
walipotembelea ofisini kwa Mkurugenzi huyo leo. Katikati ni Mkuu wa
Kitengo cha Huduma za Sheria kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Bibi. Esther Riwa.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu Bw. Muguha Titus Muguha akizungumza
na Vijana wanaoshiriki mafunzo kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Jamii
(hawapo pichani) yanayotolewa na wataalamu kutoka Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo. Kutoka kulia ni Afisa Vijana wa Wizara
hiyo Bi. Amina Sanga, Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria Bibi. Esther
Riwa, Mkuu wa Kituo cha Maendeleo ya Vijana Sasanda kilichopo Mbeya Bw.
Laurian Massele na Afisa Vijana wa Mkoa wa Kigoma Bw. Edward Manase
Mkuu
wa Kitengo cha Huduma za Sheria kutoka Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa akitoa mada kuhusu Sera ya
Maendeleo ya Vijana na Stadi za Maisha kwa baadhi ya Vijana wa
Halmashauri za Kasulu na Buhigwe leo katika Ukumbi wa Kituo cha
Utamaduni Wilayani Kasulu.
Mkuu
wa Kitengo cha Huduma za Sheria kutoka Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa akitoa mada kuhusu Sera ya
Maendeleo ya Vijana na Stadi za Maisha kwa baadhi ya Vijana wa
Halmashauri za Kasulu na Buhigwe leo katika Ukumbi wa Kituo cha
Utamaduni Wilayani Kasulu.
Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Bw. Bernard Ntikabuze
akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo walipofika ofisini kwake ili kujitambulisha kabla ya kuendelea
na ratiba ya mafunzo na ukaguzi wa miradi Wilayani hapo leo.
No comments:
Post a Comment