TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Thursday, February 19, 2015
DR. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA FEDHA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha
katika mkutano wa siku moja uliozungumzia
utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya
Fedha wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Omar Yussuf Mzee(hayupo pichani)
alipokuwa akitoa
Taarifa ya Ute
kelezaji wa
mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika mkutano uliofanyika leo asubuhi ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
mbele ya Mwe
nyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
[Picha na Ikulu.)
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Khamis Mussa (kushoto) na watendaji wengine wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji
wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyotolewa na Waziri
Omar Yussuf Mzee (hayupo pichani) katika mkutano uliofanyika leo asubuhi chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment