Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi
wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,
Picha na Ikulu.
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Ali Juma Shamuhuna alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa
mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika
mkutano uliofanyika leo asubuhi ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
No comments:
Post a Comment