African Sports waliibuka washindi
wa kwanza katika Kundi A, na Mwadui FC washindi wa kwanza Kundi B
watacheza mchezo huo wa fainali ambapo Bingwa atapewa zawadi ya Kombe na
medali, hali kadhalika kwa msindi wa pili.
Ligi Daraja la Kwanza (FDL)
ilimalizika mwishoni mwa wiki kwa timu nne kupanda Ligi Kuu kwa kila
kundi kutoa timu mbili, Kundi A ni African Sports na Majimaji FC, Kundi B
ni timu za Mwadui FC na Toto African
No comments:
Post a Comment