Mchezo huo wa kujipima nguvu ni
sehemu ya program ya kocha mkuu Mart Nooj ya kupata nafasi ya kuona
maendeleo ya wachezaji wake ambao anawaandaa kuwa wachezaji wa timu ya
Taifa ya baadae.
Mara baada ya mechi ya leo jioni
jijini Tanga, timu hiyo itarejea jijini Dar es salaam ili kutoa fursa
kwa wachezaji kujiunga na vilabu vyao kwa ajili ya michezo inayowakabili
mwishoni mwa wiki ikiwemo Ligi Kuu ya Vodacom na Fainali ya Ligi Daraja
la Kwanza.
No comments:
Post a Comment