Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Ofisi ya
Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu (katikati)
ambaye pia ni Mgeni Rasmi katika
Warsha ya Mafunzo ya kuandaa
vigezo vya mikakati ya Kitaifa ya kupunguza Gesijoto, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Warsha
hiyo njee ya Ukumbi wa Stella Maris Mkoani
Bagamoyo leo . Kulia kwake ni Mkufunzi kutoka UNDP- New York, Dk. Deborah Cornland na kushoto kwake ni Mkufunzi kutoka Carboni Africa-
Nairobi Faith Nangabo. (Picha na OMR)
Mkurugenzi Idara ya Mazingira, Ofiisi ya Makamu wa Rais,
Dk. Julius Ningu akifungua Warsha ya
Mafunzo ya kuandaa vigezo vya mikakati ya Kitaifa ya kupunguza Gesijoto Mkoani
Bagamoyo leo . wa kwanza kushoto ni
Mtaalam wa Nishati na Mabadiliko Tabianchi kutoka UNDP- Dar es Salaam, Bw.
Abbas Kitogo na wa kwanza kulia ni Dk. Deborah Cornland kutoka UNDP- New
York.
No comments:
Post a Comment