Bwana Harusi Maneno Abdallah na Mkewe Bi Nusrat Tahwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa hapo jana
Dua ikiendelea nyumbani kwa Mwanamke Kimara kabla ya ndoa kufungwa na Maneno kuondoka na Jiko lake
Nderemo na vifijo
Mtu akilia mara baada ya dada yake kuchukuliwa
Kaswida maridhawa akipigwa na watoto wa madrasa
Akifungishwa Ndoa hapo jana
Baba wa bi harusi akitoa nasaha kwa watoto wake
Akimfunua Mkewe mara baada ya kukabidhiwa rasmi hapo jana
Mdau Maneno akiondoka na jiko lake kuelekea kwake Segerea mara baada ya kufunga ndo hapo jana.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment