TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, February 16, 2015
TAMASHA LA PASAKA MWAKA HUU LITAHUSISHA MICHEZO PIA, LINATIMIZA MIAKA 15
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, ambapo amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbajiwa muziki wa injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia itakuwepo michezo mbalimbali ikiwa pia ni maadhimisho ya miaka 15 toka kuanzishwa kwa tamasha hilo.
Alex Msama akisisitiza jambo katika mkutano huo
Alex Msama akiwafafanulia zaidi waandishi wa habari katika mkutano huo
Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua taarifa ya Bw. Alex Msama.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment