|
Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala
akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha
Kirya wilayani Mwanga. |
|
Naibu waziri wa Maji Amosi Makala
akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada
ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi
huo. |
|
Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia
jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe
Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi
huo.
|
|
Eneo la mradi mkubwa wa maji utakao saidia
upatikanaji wa maji katika wilaya za Mwanga,Same na Korogwe
. |
|
Eneo la Bwawa la Nyumba ya Mungu ambalo
linatazamiwa kuwekwa mitambo kwa ajili ya uvutaji maji
|
|
Maeneo mbalimbali amabyo yanatazamiwa
kufungwa mashine za kuvuta maji,matanki ya kuhifadhia pamoja na
matanki ya dawa kwa ajili ya matibabu ya maji yanatazamiwa
kuwekwa. |
|
Mkuu wa wilaya ya Mwanga Shaibu Ndemanga
akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa maji Amosi Makala
kuzungumza na wananchi wa kijiji cha Kirya katika eneo la Njia Panda
ulipo mradi huo. |
|
Baadhi ya wafanyakazi katka mradi huo
wakimsikiliza mkuu wa Wilaya ya Mwanga ,Ndemanga. |
|
Baadhi ya wananchi katika kijiji cha
Kirya. |
|
Naibu Waziri wa maji Amosi Makala
akizungumza katika mkutano wake na wananchi wa Kijiji cha Kirya
wilayani Mwanga . |
|
Baadhi ya viongozi walioambatana na Naibu
waziri wa maji,Amosi Makala wakati wa ziara yake kutembelea katika
eneo hilo kujionea maenedeleo ya ujenzi wa mradi.
|
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Moshi.
No comments:
Post a Comment