Msama
ameongeza kwamba hivi sasa wako katika mazungumza na waimbaji wa muziki
wa injili kutoka nje ya nchi hasa kule Afrika Kusini na Uingereza,
waimbaji ambao wako katika mazungumza na kampuni ya Msama Promotion ni
Solomon Mahlangu, Rebecca Malope, Keke Pofolo na wengine wote kutoka
nchini Afrika Kusini.
Alex Msama akisisitiza jambo wakati alipokuwa akijibu maswali ya waandhishi wa habari kwenye mkutano huo.
Hapa msama kipata menyu ya mchana mara baada ya mkutano huo.
Hapa msama kipata menyu ya mchana mara baada ya mkutano huo.
No comments:
Post a Comment