Ile
party ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kubwa na watu mbalimbali wa
ndani na nje ya Zanzibar Maarufu kama ‘RED CUP Party’ kufanyika Februari
28 ndani ya Hoteli ya Palm Beach iliyopo Bwejuu, Unguja.
Akielezea
mwandaaji wa shoo hiyo ya kijanja, Djzoro ON Mix Man amesema tayari
mipango yote imekamilika na tiketi zimeanza kuuzwa kwa sasa.
“Party
ya kijanja ya RED CUP Party, kwa sasa ni gumzo na tiketi zimeshaanza
kuuzwa. Kwa kiingilio cha sh 10,000/= kwa wanaume na sh 5000/=, kwa
wanawake. Pia kwa wanaotaka tiketi wanaweza kuwasiliana kupitia simu
namba 0658775755.” Alibainisha Djzoro ON Mix Man
“Hii
shoo ni ya aina yake kwani ni Kimataifa, tayari set up ya swimming pool
ipo tayari kwajili ya REDCUP na usiku zitawaka taa mbali mbali za
kupendeza.
Jipange
kwa kingilio cha elf 5 mlangon au kwa bus kubwa kutoka NGOME KONGWE
mpaka PALM BEACH na shiling elf 10 kwa wanaume na elf 5 kwa wanawake
karibu sana” alisema. Djzoro ON Mix Man.
No comments:
Post a Comment