Waziri wa Maliasili na Utalii
Lazaro Nyalandu, akizungumza na Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na
Utalii ya Bunge la Norway,Ola Eluestuen (kushoto) na Balozi wa nchi hiyo
hapa Tanzania Hanne-Mariekaarstad, walipofika ofisini kwake muda mfupi
kabla ya kuzungumza na kamati nzima ya bunge hilo.
No comments:
Post a Comment