TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, February 16, 2015
MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA AAGWA RASMI
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua mchango wake akiwa mwanzilishi wa mfuko huo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi na wafanyakazi wastaafu iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee mwishoni mwa wiki , Mzee Emannuel Humba aliwaasa wafanyakazi wa mfuko huo kushikamana na kufanya kazi kwa kujituma ili kuhakikisha mfuko huo unafikia malengo, Katika hafla hiyo Emanuel Humba pia amezawadiwa zawadi mbalimbali. wa pili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF Balozi Ali Mchumo na kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw. Michael
Mhando.
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF
akitoa shukurani zake kwa uongozi wa NHIF na wafanyakazi kwa ujumla kwa kuwaadalia hafla hiyo ya kuwaaga.
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF
akipokea shada la maua kutoka kwa Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF.
Mkurugenzi wa Uendeshaji (
NHIF
),Eugen
Mikongoti
akizungumza
katika hafla hiyo wakati akielezea wasifu wa baadhi viongozi wastaafu wa mfuko huo.
Dr Marqus Kalinga Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa akipokea tuzo yake kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF Balozi Ali Mchumo, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando
Athman
Rehani
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF)
akisoma wasifu wa mmoja wa wastaafu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF Balozi Ali Mchumo
akikabidhi zawadi kwa mstaafu Andrew Mwilungu aliyekuwa meneja wa NHIF Pwani.
Mstaafu Peter Daniel akitoa shukurani zake mara baada ya kukabidhiwa zawadi zake katika hafla hiyo ya kuwaaga wastaafu wa Mfuko wa Bima Afya ya Taifa, kutoka kushoto wanaofurahia ni
Mkurugenzi wa Uendeshaji (
NHIF
),Eugen
Mikongoti
na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando
Baadhi ya wafanyakazi wakijadili jambo wakati wa hafla hiyo.
Wafanyakazi wakiwa na nyuso za furaha
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando
akizunguma katika hafla hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando
kushoto akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Ali Mchumo kulia na
Mkurugenzi wa Uendeshaji (
NHIF
),Eugen
Mikongoti
Mkurugenzi wa Uendeshaji (
NHIF
),Eugen
Mikongoti
, Othman Rehani Mkurugenzi wa Afya ya Jamii CHF na
Mkurugenzi wa Tiba na Masuala ya Kiufundi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk.Frank Lekey wakipitia makabrasha wakati wa hafla hiyo.
Balozi Ali Mchumo Akisalimiana na Mkurugenzi Mstaafu wa NHIF Bw. Emannuel Humba.
Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi Akiwasili ukumbini hapo huku akiwa ameongozana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Michael Mhando.
Baadhi ya wafanyakazi wakimpokea mwenyekiti wa Bodi.
Hapa wakiserebuka kidogo
Wafanayakzi wakiwa wamejipanga huku wakifurahia jambo wakati wa mapokezi ya viongozi na wafanyakazi wastaafu wakati walipowasili kwenye ukumbi wa Diamond tayari kwa hafla hiyo
Mzee Emanuel Humba pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wakiinga ukumbini hapo huku wakipokelewa na wafanyakazi.
Baadhi ya maofisa
Grace Michael kushoto Hawa Katikati na Catherin wakipozi kwa picha
Wafanyakazi hao wakimpelekea keki Kaimu Mkurugenzi mkuu NHIF Bw. Michael Mhando.
Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi akimpongeza Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Michael Mhando pamoja na baadhi ya wafanyakazi.
Kutoka kushoto Maofisa wa NHIF Sabina Komba na
Luhende Singu wakiwaongoza maofisa wenzao kufungua Shampeni wakati wa hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment