TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Tuesday, February 17, 2015
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kulia) akimkaribisha Ofsini kwake Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha – Rose Migiro alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo februari 17, 2015, Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akiendelea na mazungumzo na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha – Rose Migiro(hayupo pichani) alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha – Rose Migiro akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo februari 17, 2015, Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha – Rose Migiro alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo februari 17, 2015, Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment