TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, January 19, 2015
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MAGHARIBI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mti wa viungo aina ya Mdalasini wakati akipata maelezo kutoka kwa Othman Mohamed mwenyekiti wa kikundi Kinachoendesha shamba la Spice Solution Farm lililopo Mwakaje jimbo la Mfenesini Zanzibar wakati aliposhiriki pia shughuli za upandaji wa miti katika shamba hilo, Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010 Kinana Anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM
.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
shiriki kazi ya kupanda miti katika shamba la Spice Solution Farm Mwakaje Mfenesini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
angalia pilipili zilizolimwa katika shamba hilo huku akipata maelezo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
angalia viongo mbalimbali vilivyosagwa na kusindikwa tayari kwa kuuza kwa wateja.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
shiriki kazi ya kufukia mabomba katika mradi wa maji wa Mbuzini jimbo la Mfenesini huku akishirikiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi Ndugu Yusuf Mohamed Yusuf.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
mtwisha ndoo ya maji Mama Khadija Issa Kibwana mara baada ya kuzindua mradi wa maji Mbuzini jimbo la Mfenesini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
angalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na kikundi cha akina mama wajasiriamali cha Mshikamano Daima Kilichopo Mtopepo jimbo la Mtoni mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Waziri Kiongozi Mstaafu Mh. Shamsi
Vuai
Nahodha wakishiriki katika ujenzi wa ofisi ya CCM tawi la Bububu.
Waziri Kiongozi Mstaafu Mh. Shamsi
Vuai
Nahodha
kushoto akiteta jambo na Nape Nnauye
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM
wakati wa mkutano wa ndani uliofanyika kwenye ofisi ya CCM tawi la Bububu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akizungumza na wajumbe wa Halimashauri kuu ya wilaya ya Mfenesini.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Ndugu Yus
uf Mohamed Yusuf akizungumza katika mkutano huo wa ndani.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Mh. Masauni Yusuf Masauni.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano wa ndani
Balozi Ali Karume akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Geji jimbo la Mtoni mjini Zanzibar.
Baadhi ya wananchi na wana CCM wakiwa katika mkutano huo.
Nape Nnauye
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM
akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Geji Mtoni mjini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi katika mkutano huo amewataka wazanzibari kupiga kura ya ndiyo ifikapo aprili 30 mwaka huu ili kuipitisha katiba mpya iliyopendekezwa.
Baadhi ya wanaCCM wakinyoosha mikono yao juu kukubali kupiga kura ya ndiyo katiba mpya iliyopendekezwa ifikapo Aprili 30 mwaka huu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
aki
zungumza na wananchi katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment