TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Friday, January 23, 2015
MBEGU ZILIZOPANDWA KWENYE SHAMBA DARASA LA WAZIRI MKUU HAZIJAOTA
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt Ibrahimu Msengi akipata maelezo kutoka kwa Mshauri wa kilimo wa mkoa Mr. Nyoni juu ya mbegu ya mahindi aina ya Pioneer inayozalishwa na kampuni By Treda ya mkoani Arusha mbegu zilizopandwa kwenye shamba la waziri mkuu na hazijaota.
Wakulima wakiwa shambani, shamba darasa la waziri mkuu walipokutana na mkuu wa mkoa kumweleza sakata la mbegu kushindwa kuota baada ya kupandwa hali ambayo walimweleza Mkuu wao wa Mkoa kuwa huenda wakakumbwa balaa la njaa kwani hata wakipanda muda huu mvua ziko hatarini kukatika kutokana na msimu wa mvua katika ukanda huu .
(Picha zote na Kibada Kibada)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment