Mkugenzi
wa CHF Bima ya Afya, Bw.Rehan Athumani (katikati) akifungua semina ya
siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa SACCOS za
wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa
wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina hiyo kuwapa elimu viongozi hao
kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili wapeleke ujumbe kwa wanachama wa
SACCOS waweze kujiunga na mfuko huo (kushoto) Afisa Ushirika Mansipaa ya
Ilala, Ladislaus Mwamanswao (kulia) Meneja wa CHF Bima ya Afya,
Costantine Makala. Afisa
Matekelezo wa NHIF, Godfrey Tumaini akiwakilisha mada yake kuhusina
mpango wa kikoa ambapo amesema mpango huo ni mpya na umeanzishwa kwa
malengo ya kukidhi haja ya kundi la watu wa kati ambao hawawezi
kujilipia bima kama watu binafsi na hawaridhiki kujiunga katika mfumo wa
CHF katika mfuko huo. Afisa
Matekelezo NHIF Mansipaa ya Ilala, Hipoliti Lello akisisitiza jambo
wakati wa semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya
viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala
iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina
hiyo kuwapa elimu viongozi hao kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili
wapeleke ujumbe kwa wanachama waweze kujiunga na mfuko huo. Afisa
Matekelezo na Uratibu NHIF, Catherine Masinisa akielezea sheria za
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakati wa semina hiyo.
Mshiriki wa Semina hiyo, Juliana Richard akichangia mada. Viongozi wa SACCOS wakipitia vipeperushi. Viongozi mbalimbali wa SACCOS wakifuatilia mada wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Viongozi mbalimbali wa SACCOS wakifuatilia mada wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

No comments:
Post a Comment