Mhandisi wa Kampuni ya Al Water
Well Drillers, Mohamed Aboud (katikati), akielekeza jambo kwa mmoja ya
wafanyakazi wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi ya miradi ya
uchimbaji wa visima vya maji unaofafadhiliwa na Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini B, wilayani Bagamoyo,
Pwani mwishoni mwa wiki. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kulia) akielekeza jambo kwa fundi
alipokuwa akikagua ujenzi wa mradi wa uchimbaj wa visima vya maji katika
vijiji vya Nianjema C na Mianzini B, wilayani Bagamoyo, Pwani mwishoni
mwa wiki.Miradi hiyo itagharimu sh. mil.51.7.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akijadiliana jambo na na mkandarasi wa
ujenzi wa visima vya maji katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini
B,Mohamed Aboud, mwishoni mwa wiki wilayani Bagamoyo, Pwani. TBL
inafadhili miradi hiyo kwa gharama ya sh. mil. 51.7.
Mhandisi wa Kampuni ya Al Water
Well Drillers, Mohamed Aboud (katikati), akielekeza jambo kwa mmoja ya
wafanyakazi wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi ya miradi ya
uchimbaji wa visima.
No comments:
Post a Comment