TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Friday, January 23, 2015
RAIS DK.SHEIN AWAALIKA CHAKULA MATAKTARI BINGWA KUTOKA UINGREZA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiwa na madakatari Bingwa
wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo
kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalu
m uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Madaktari Bingwa wa
maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo
kutoka Uingereza wakiwa katika chakula cha mchana walichoandaliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein
Ikulu Mjini Zanzibar leo, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalu
m uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (katikati) akiwa katika picha na ya pamoja na na madakatari Bingwa
wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo
kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo,pia wakiwepo Viongozi wengine wa Serikali, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalu
m uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiagana na madakatari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment