Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith
Satano Mahenge (wa pili kulia), akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga
Bw. Magalula Said Magalula (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa
Mkurugenzi Mzalishaji wa kiwanda cha Tanga Sementi Bw. Ben Lema, jinsi
wanavyopima sementi kuangalia ubora wake kabla ya kusambaza kwa
watumiaji na jinsi wanavyojitahidi kulinda Mazingira kiwandani hapo.Sehemu ya Bandari ya Tanga ikionesha kisiwa cha Toten kilichopo Mkoni hapo ambacho kipo hatarini kuzama. Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith
Satano Mahenge (wa pili kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya
Tanga Bw. Fred Liundi (kushoto) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga
wakielekea kupanda Boti kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko
hatarini kuzama.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (kulia), akikagua Kisiwa cha Toten kilichopo mkoani Tanga. Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge,kuhusu umuhimu wa kisiwa hicho.

No comments:
Post a Comment