Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti_______________________
Na demasho.com
Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma
imefanya tahimini ya elimu ya na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi
mwaka 2014 katika ukumbi wa EMAU Peremiho.
imefanya tahimini ya elimu ya na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi
mwaka 2014 katika ukumbi wa EMAU Peremiho.
Katika tathimini hiyo mkuu wawilaya ya Songea
Joseph Mkirikiti amewataka Madiwani ,Maafisa tarafa, Watendaji wa kata na Watendaji wa Vijiji kuwapa elimu wazazi
juu ya umuhimu wa kuchangia chakula cha kutosheleza muhula wa masomo
ili kusaidia wanafunzi kufanya vizuri katika masomo

“Kwani kufanya hivo kutasaidia
wanafunzi kujifunza muda wote wawapo shuleni na kujenga ushirikiano baina yao
wanapokuwa pamoja na hali hiyo iatainua kiwango cha ufaulu” alisema Mkirikiti.
Hata hivyo Mkirikiti amewataka Madiwani ,Maafisa tarafa,
Watendaji wa kata na Watendaji kuacha
kusingizia wanasiasa kuwa wamezuia suala la kuchangia chakula
Watendaji wa kata na Watendaji kuacha
kusingizia wanasiasa kuwa wamezuia suala la kuchangia chakula
“Tabia ya kuwasingizia
wanasiasa kuwa wamezua kuchangia chakula mashuleni muache sio kila kitu
kusingizia wanasiasa hivi ni kiongozi gani asiependa maendereo ?, maana saiz
kila kitu wanasiasa wamezuia hasa kipindi hiki tunachoenda cha uchaguzi
utasikia wanasiasa wamezuia ukiona mwanasiasa anazuia basi huyo ni SHIDAAA ”Alisema Mkirikiti.
Naye Kaimu Afisa elimu wilya Bw.
Tanu Kameka ameomba baada ya Tathimini hiyo wakutane na waratibu wakata,
wazazi , walimu pamoja na watendaje ili uongezwe muda wa ziada wa
ufundishaji ili kuweza kuleta mwamko wa elimu katika halmashauri hiyo ya
Songea vijijini na kuleta ufaulu mzuri.
“ Miaka yote tumekuwa tukifanya hivo na ndiyo maana
tukawa tunaongoza katika matokeo , ila kwa mwaka jana hatukuweza kusimamia hili swala la muda wa ziada ndiyo maana tumeshuka ila kwa mwaka huu tunalirudisha swala la muda wa ziada hivyo tutafanya vizuri katika matokeo” Alisema Bw.
Kameka.
Kameka.
No comments:
Post a Comment