Spika
wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho katikati akisindikizwa na
Askari wake kutoka katika ukumbi wa Baraza Baada ya kuhairishwa kwa
kikao hicho kilichoanza leo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Waziri
wa Miundo mbinu na mawasiliano Juma Duni Haji kushoto akiwa pamoja na
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nasor Ahmed Mazrui nje ya ukumbi wa
Baraza la Wawaklilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Mwakilishi
wa Jimbo la Wawi Saleh Nasor Juma akibadilishana mawazo na mwakilishi
wa kuteuliwa nafasi za wanawake Wanu Hafidh Ameir nje ya ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Mbwenu nje ya mji wa Zanzibar.
Mwakilishi
wa Jimbo la Wawi Saleh Nasor Juma wakizungumza jambo na Mwakilishi wa
Jimbo la Mji mkongwe Ismail Jussa Ladhu nje ya ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Waziri
wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawabora DKT Mwinyihaji Makame kulia
akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Saidi Hassan Saidi
nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment