Rais Dr. Shein afungua Mkutano wa Madaktari kutoka Uingereza
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikilizaRais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein
alipokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika jana katika ukumbi wa
Breezes Hotel Bwejuu Mkoawa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu,] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingerezamkutano
huo uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini Tanzania katika ukumbi
wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini
Unguja jana,[Picha na Ikulu.] Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza
wakimasikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu,] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingerezamkutano
huo uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini Tanzania katika ukumbi
wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini
Unguja jana,[Picha na Ikulu.] Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza
wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa
maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza
uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini
Unguja,[Picha na Ikulu,]
No comments:
Post a Comment