TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 23, 2015

UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUKIUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDAN KUSINI JIJINI ARUSHA

unnamed (42) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Salva Kiir Mayardiy wa
Sudan ya Kusini (kushoto), Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek
Machar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakitia saini
mkatana wa  makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha
Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari
21, 2015 usiku. Nyuma yao ni mjane wa marehemu John Garang aliyekuwa
Mwenyekiti wa SPLM Mama Rebecca Nyandeng de Mabior na Afisa wa Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Thobias Makoba. Nyuma
yao wakishuhudia utiaji saini huo ni Makamu wwa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilali, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Yoweri Museveni wa
Uganda
unnamed (43) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Salva Kiir Mayardiy wa
Sudan ya Kusini (kushoto), Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek
Machar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakionesha hati
baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya kukiunganisha upya
chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini
Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.
unnamed (44) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pongezi kwa Rais Salva Kiir
Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto), Makamu wa Rais wa zamani wa
Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng Alor Kuol
baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya kukiunganisha upya
chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini
Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.
unnamed (45) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati  Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya
Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.
unnamed (46) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati  Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya
Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.
unnamed (47) Rais Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu
wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek Machar Teny wakipeana mikono kwa
furaha baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya kukiunganisha
upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini
Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.
unnamed (48)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Bw Deng Alor Kuol wakifurahia wakati Rais Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment