Katibu
 Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua maktaba ya shule ya mingi
 ya Jitegemee iliyopo kata ya Magomeni mjini Bagamoyo wakati wa ziara 
yake ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ikiwa ni 
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, Kinana yupo 
katika ziara ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akiongozana na Katibu wa
 NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. 
Katibu
 Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Waziri wa Elimu na 
Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo  Dr. Shukuru Kawambwa 
akielekeza jambo wakati
 wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Magomeni mjini 
Bagamoyo, Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmde Kipozi. 
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza akizungumza jambo na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwinshehe Mlao. 
Mwenyekiti
 wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwinshehe Mlao akizungumza na wananchi 
katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi
 Jitegemee kata ya Magomeni mjini Bagamoyo. 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza
 na wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja
 vya shule ya msingi Jitegemee kata ya Magomeni Bagamoyo 
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo  Dr. Shukuru Kawambwa akiwahutubia wapiga kura wake hawapo pichani. 
 
Baadhi ya wanachama wapya wa CCM wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama wa CCM leo mjini Bagamoyo. 
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Pwani wakila kiapo cha utii 
kwa chama cha Mapinduzi kutoka kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Pwani 
Ndugu Joyce Masunga,Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwinshehe Mlao na kutoka kushoto ni  Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmde Kipozi.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo  Dr. Shukuru Kawambwa 
 
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akitema cheche katika mkkutano huo.

No comments:
Post a Comment