MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA NDANI JIJINI ARUSHA 
 
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA NDANI JIJINI ARUSHA 
 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi
 wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC 
jijini Arusha. Kongamano hilo limefunguliwa leo Septemba 24, 2014. Picha
 na OMR ![00[1]](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/001-1024x682.jpg)
 
Baadhi
 ya washiriki waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati 
akihutubia katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Septemba 24, 2014. 
Picha na OMR
  
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akifurahia burudani ya ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa
 AICC jijini Arusha leo Septemba 24, 2014 kwa ajili ya kufungua 
Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani. Picha na
 OMR 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 amkabidhi zawadi Shadrack Kishimba, kwa niaba ya Mdhibiti na Mkaguzi 
Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh, wakati wa ufunguzi wa 
Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, 
linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha. Picha na 
OMR 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 amkabidhi zawadi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa, wakati wa ufunguzi wa 
Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, 
linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha. Picha na 
OMR
  
Picha ya pamoja na washiriki wa kongamano hilo.
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akizungumza na Dkt. Joan Pastor, (kulia) na Lesedi Lesetedi baada ya 
kufungua rasmi Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za 
Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha. 
Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
 Bilal, akizungumza na mtoa mada, Faith Basiye kutoka nchini Kenya (wa 
pili kushoto) baada ya kufungua rasmi Kongamano la mwaka la siku tatu la
 Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa
 AICC jijini Arusha. Kulua kwa Makamu ni Emmanuel Johannes. Picha na OMR 
 
No comments:
Post a Comment