Mkuu
 wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Nyerembe Munasa akisaini kitabu cha 
wageni mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Bima la Taifa 
(NIC) katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani 
yaliyofanyika kitaifa jijini Arushaa  katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid, ,aliyeshika mice ni meneja wa shirika hilo Mkoa wa Arusha na Manyara Bw.Godwin Ole Kambaine
Meneja
 wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)Mkoa wa Arusha na Manyara Bw.Godwin 
Ole Kambaine akitoa maelezo mafupi kuhusu shirika hilo kwa Mkuu wa 
wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Nyerembe Munasa mara baada ya kutembelea
 banda hilo jijini Arusha katikati  ni meneja masoko na utafiti wa 
shirika hilo kutoka makao makuu Bw.Elisante Maleko
Mdau
 aliyetembelea banda hilo la Shirika la Bima la Taifa (NIC) akiwa 
anauliza maswali yanayohusu shirikika hilo lengo nikutaka kufahamu zaidi
 shughuli za shirika,kushoto ni Afisa wa Bima Bi.Costancia Komanya
Meneja
 masoko na utafiti wa shirika la Bima la Taifa (NIC) kutoka makao makuu 
Bw.Elisante Maleko akiwa anatoa ufafanuzi kwa mdau aliyefika katika 
banda lao ambapo alisema kuwa pamoja na bima nyingine pia wanatoa huduma
 ya bima ya matibabu (madecare) ambao ni mpango maalum wa shirika hilo 
kutoa matibabu kwa wananchi wa kada zote 
No comments:
Post a Comment