Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza
 Mbutu (wa pili kutoka kulia), akiwa na Kalala Junior (wa pili kutoka 
kushoto) pamoja na  Haji Ramadhani (wa kwanza kulia) wakitoa burudani 
kwa mashabiki wao kwenye shoo iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar 
 Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo.
 Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.
Wadau wakiwa kwenye picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment