Marko
 Kapata Diwani ya Mpanda ndogo Ahamed Mapengo   akichangia  mawazo yake 
katika semina ya Madiwani kuhusu misitu ili kuboresha jinsi ya kuhifadhi
 misitu na kuboresha mazingira, wengine wanaomsikiliza ni madiwani 
wenzake na watalaamu hawapo pichani. 

 Afisa Misitu Mwanadamizi  wa HalmashaurI ya Mpanda Nyambala Lucas 
akiwasilisha mada  juu ya hoja ya kuhifadhi mapori ya Tongwe  Magahribi 
semina iliyowashilikisha   Madiwani na Wataalam kuhusu kuwajengea uelewa
 juu ya umuhimu wa uhifadhi misitu na uharibifu wa mazingira. 

Diwani wa Viti Maalum Tarafa ya Mwese Teodora Kisesa mwenye gauni nyekundu akichangia kwenye semina hiyo.
(Picha zote na Kibada Kibada-Katavi)

No comments:
Post a Comment