MECHI
 ya Simba na Yanga iliyopangwa kuchezwa Oktoba 12 kwenye Uwanja wa Taifa
 sasa imesogezwa mbele mpaka Oktoba 18 kupisha mechi ya kirafiki ya 
Taifa Stars na Benin.Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limetangaza 
jana kwamba Stars itacheza Oktoba 12 na leo watatangaza mabadiliko mapya
 ya ratiba ya Ligi kupisha mechi hiyo ya kalenda ya Fifa na ni rasmi 
kwamba Simba na Yanga ni wikiendi ya Oktoba 18.
Kusoma zaidi kwa hisani ya Mwanaspoti bofya www.bkmtata.blogspot.com
No comments:
Post a Comment