Rais 
Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina 
la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa 
Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika 
usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington
Rais 
Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya
 pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania  katika hafla ya USIKU WA 
JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott 
jijini Washington
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea makombe toka kwa 
Balozi wa Heshima wa Tanzania huko California Mhe Ahmed Issa kama 
pongezi kwa uongozi uliotukuka Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa 
miaka minane Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa 
wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA 
uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini 
Washington
Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka 
Watanzania kutoka Atlanta  kama pongezi kwa uongozi uliotukuka Rais 
Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane Brian ambaye alitoa 
burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo
 katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika
 hoteli ya JW Mariott jijini Washington.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington.





No comments:
Post a Comment