Mkurugenzi
 wa Uhamasishaji wa Biashara na Masoko kutoka Wizara ya Viwanda na 
Biashara Bw. Odilo Majengo (katika) akizungumza na waandishi wa habari 
wakati wa kuzindua maonyesho ya Saba ya Magari yajulikanayo kama Atofest
 jana jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Biafra.kulia ni Msaidizi 
Binafsi wa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Deodatus Timothy 
Ndunguru na kushoto ni Mratibu wa maonyesho hayo Bw. Ally Nchahage.
 
Baadhi
 ya wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika banda la Jaffarais Car Wash 
wakisubiri wateja kwa ajili ya kuwaoshea magari ikiwa ni mchango kwa 
ajili ya kusaidi wagonjwa walioko hospitali ya Taifa Muhimbili watokanao
 na ajari za barabarani. Tukio hili limefanyika jana katika viwanja vya 
Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 
Msanii
 Singo Mtambalike aka Rich Rich (aliyeshika mpira wa maji) na msanii wa 
kike Bi. Kajala Masanja (  aliyeshika ndoo) wakiosha gari la mteja 
aliyefahamika kwa jina la Furaha Mansoor (hayupo pichani) mara baada ya 
kufikia makubaliano ya kumuoshe gari mteja kwa ikiwa ni mchango wa 
kusidia wahanga wa ajari za barabarani waliolazwa katika Hospitali ya 
Taifa Muhimbili. Wasanii hao waliosha gari hilo kwa gharama ya shilingi 
laki tano za kitanzania.
 Mkurugenzi
 waKampuni ya SBP Bw. Furaha Mansoor (katikati) akiwakatika picha 
yapamoja na wasanii Singo Mtambalike aka Rich Rich (kushoto) na Kajala 
Masanja (kulia) mara baada ya wasanii hao kumaliza kumuoshea gari lake 
wakati wa maonyesho ya magari na zoezi la uchangiaji wa hiari kwa 
wahanga wa ajari za barabarani waliolazwa katika Hospitali ya Taifa 
Muhimbili jana jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Biafra 
 Wasanii
 Johari Chagula (anayepaka sabuni) na Monalisa (  aliyeshika mpira 
wamaji) wakiosha gari la mteja aliyefahamika kwa jina la Feisar (hayupo 
pichani) mara baada ya kufikia makubaliano ya kumuoshe gari mteja huyo 
kwa ikiwa ni mchango wa kusidia wahanga wa ajari za barabarani 
waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
 Mkurugenzi
 wa Uhamasishaji wa Biashara na Masoko kutoka Wizara ya Viwanda na 
Biashara Bw. Odilo Majengo ambaye alimwakilisha Waziri wa Viwanda na 
Biashara katika maonyesho ya magari akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa
 Mahusiano wa Bank ya Afrika Tawi la Tanzania (BOA Bank) Bi. Gereta 
Gonga alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa uzinduzi wa maonyesho 
hayo jana jijini Dar es Salaam.

Biashara katika maonyesho ya magari akifurahia zawadi ya Kikombe 
aliyopewa na Meneja Masoko wa Kampuni ya Kuunganisha wauzaji na wanunuzi
 wa magari Tanzania kupitia mtandao wa cheki.co.tz Bw. Mori Bencus jana 
jijini Dar es Salaam. Kampuni ya ndiyo wadhamini wakuu wa maonyesho hayo
 ya saba ya Atofest ambapo wameingia kwa mara ya kwanza katika biashara 
hapa nchini Tanzania mwaka 2014 wakiwa na lengo la kuhakikisha 
watanzania wanapata huduma bora na kwa wakati.

Gari
 lenye uwezo wakuimiri katika maeneo yasiyo na barabara zauhakika 
likiendeshwa katikati ya dimbwi la matope kuonyesha uimara wake,hayo 
yamefanyika jana jijini Dar es Salaam katika maonyeshi ya magari 
yanayonedelea katika viwanja vya Biafra Kinondoni.
No comments:
Post a Comment