Kati
 kati ni Bwana na Bibi Denis (Nasibu) Msaki wakiwa na wasimamizi wao 
katika harusi yao takatifu iliyofungwa katika kanisa la Roman Katoliki 
parokia ya Mavurunza Kimara jijini Dar es salaam.
Maharusi
 Denis na Siael wakimtanguliza Mungu kabla ya kuanza kwa sherehe 
iliyofanyika katika ukumbi wa Green leaf Kimara Korogwe.

Bwana
 na Bibi Denis (Nasibu) Msaki siku ya jana ya tarehe 20/09/2014 ndio 
siku yao ambayo walikuwa wanaisubiri kwa muda mrefu baada ya kutimiza 
ndoto yao katika uchumba wao na kufunga ndoa takatifu katika kanisa la 
Roma parokia ya Mavurunza Kimara jijini Dar na baadae ikafuatiwa na 
sherehe ya nguvu iliyofanyika katika ukumbi wa Green leaf uliopo Kimara 
korogwe jijini Dar es salaam. Sherehe hiyo iliongozwa na MC msanii maarufu wa maigizo Bwana Novatus Michael anayejulikana kwa jina la kisanii kama Nova.



No comments:
Post a Comment