Meneja Mkuu wa kampuni ya kielektroniki ya Samsung Tanzania na Mr Nawaz Ladha Mkurugenzi wa  Kampuni ya Freedom Elektronics moja ya kati ya wasmbazaji wa  Samsung Tanzania akikata utepe kuzindua rasmi duka jipya na kituo cha huduma kwa wateja jijini Arusha
Meneja
 Mkuu wa Samsung Mr Mike Seo akiwahutubia wanahabari(hawapo kwenye 
poicha) katika uzinduzi rasmi wa duka la kielektroniki la Samsung na 
kituo cha huduma kwa wateja mjini Arusha.
Meneja
 Mkuu wa Samsung Mr Mike Seo akiwahutubia wateja wa Samsung katika 
uzinduzi rasmi wa duka la kielektroniki la Samsung na kituo cha huduma 
kwa wateja mjini Arusha.
Meneja wa Usambazaji wa Samsung Sylvester Manyara akitoa maelezo kwa wateja na waandishi wa habari. 
Meneja  wa
 huduma Samsung Mr Mubarak Mikidad akiwahutubia wanahabari katika 
uzinduzi rasmi wa duka la kielektroniki la Samsung na kituo cha huduma 
kwa wateja mjini Arusha.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
No comments:
Post a Comment