Bondia
 Nasibu Ramadhani Kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada 
ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho jumamosi september 27 
katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BLOG
Mratibu
 wa mpambano wa ngumi Ibrahimu Kamwe katikati akiwangalia mabondia wa 
kike Lulu Kayage kushoto na Fatuma Yazidu wanavyo tunishiana misuli 
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao
Bondia Nassibu Ramadhani akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mohamedi Matumla
Mohamed Matumla akipima uzito
Bondia
 Nassibu Ramadhani na Mohamed Matumla wakinuliwa mikono juu na Mratibu 
wa mpambano huo Ibrahimu Kamwe katikati  mpambano utakaofanyika jumamosi
 hii katika ukumbi wa Frends Corner Manzese  
Bondia
 Juma Fundi na Issa Omari wakinuliwa mikono juu na Mratibu wa mpambano 
huo Ibrahimu Kamwe katikati  mpambano utakaofanyika jumamosi hii katika 
ukumbi wa Frends Corner Manzese




No comments:
Post a Comment