TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, September 21, 2014

MANCHESTER UNITED KAMA YANGA YATANDIKWA BAO 5-3 NA LEICESTER CITY PREMIER LEAGUE.

Ulloa makes it 5-3 to Leicester.KLABU ya Leicester City imeishangaza Manchester United katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kushindia bao 5-3.

katika kile kinachoonekana kuleta mabadiliko kwenye soka ni pale vilabu vikubwa vinapojikuta vikiambulia vichapo na timu wanazokuwa wakitarajia kupata ushi wa ubwete, 
 Mabao ya washindi yalianza kupachikwa na mshambuliaji wao tegemeo Leonardo Ulloa  aliyepachika bao mbili pekee yake katika dsaki ya 17 na 83 akifungwa kwa njia ya mkwaju wa penalti huku David Nugent akifunga dakika ya 62 kwa penalti kabla ya Esteban Cambiasso kuongeza lingine dakika ya 64 na Jamie Vardy aliipatia klabu yake bao dakika ya 79.

Manchester United ilipata mabao ya mapema kupitia kwa  Robin van Persie dakika ya 13 huku Angel Di Maria akifunga dakika ya 16 na bao la tatu lilipachikwa wavuni na Aguera Ander Herrera 57 na kufanya mchezo huo kumalizika kwa Leicester City kuibuka na ushindi mnono wa bao 5-3 mchezo uliofanyika uwanja wa The King Power Stadium.

No comments:

Post a Comment