Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Kim Simplis Barrow,
 Mke wa Waziri Mkuu wa Belize na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa 
anayeshughulikia masuala ya Wanawake na Watoto. Mama Barrow kwa 
kushirikiana na Umoja wa Mataifa ndio walioandaa mkutano wa Wake wa 
Marais na Wakuu wa Nchi kuzungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na 
wasichana kifedha.na
 “First Ladies Global Call to Action Conference on Women and Girls’ 
Financial Health.” Tarehe 25 Septemba,2014.
PICHA NA JOHN  LUKUWI
 
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, 
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Joyce Banda, Rais Mstaafu  wa 
Malawi muda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa 
Nchi ulizungumzia namna ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha 
huko New York tarehe 25.9.2014. 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Naibu Mkurugenzi 
Mtendaji wa Sera na Mipango katika Umoja wa Mataifa Bwana John Hendra. 
Bwana Hendra aliwahi kuwa Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania wakati wa 
mkutano wa kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha uliofanyika Makao 
Makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York tarehe 25.9.2014. 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika Mkutano wa kuwawezesha 
wanawake na wasichana kifedha ulioandaliwa na Mke wa Waziri Mkuu wa 
Belize Mama Kim Barrow akishirikiana na Umoja wa Mataifa. Kushoto kwa 
Mama Salma ni Mke wa Rais wa Suriname Mama Lisbeth Venetiaan      na 
kulia ni Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Ndugu Tuvako 
Manongi.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kwenye mkutano wa 
Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa uliozungumzia 
masuala ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York 
Marekani tarehe 25.9.2014. 

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na Mama Joyce 
Banda (kushoto) na wa kwanza kulia ni Mama Dianne Stewart, Mkurugenzi wa
 Idara ya Habari na Uhusiano wa Shirika la United Nations Populations 
Fund akifuatiwa na Bi Mpule Kwelagobe, Mwanzilishi na Afisa Mtendaji 
Mkuu wa MPULE Institute for Indogenous Development. 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi 
ya viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu 
wa Nchi za Umoja wa Mataifa. Kutoka kushoto ni Mama Kim Barrow, Mke wa 
Waziri Mkuu wa Belize, Mama Joyce Banda na wa kwanza kushoto ni Mama 
Dianne Stewart. 

No comments:
Post a Comment