Naibu
 waziri wa habari Vijana,utamaduni na michezo Juma Nkamia akiwa na Bodi 
ya wakurugenzi wa kampuni ya The blue Triple A Ltd kushoto na kulia  mwa
 naibu waziri Nkamia ni wakurugenzi wa kampuni hiyo mr,na mrs Papaa King
 Mollel wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya naibu waziri kuizundua 
nembo ya kituo cha Radio cha Triple A fm cha jijini hapa wakti wa 
sherehe hizo za uzinduzi wa nembo hiyo  jijini hapa mwishoni mwa wiki 
picha na mahmoud ahmad wa globu ya jamii Arusha.TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, September 24, 2014
TRIPLE A FM YAZINDUA NEMBO YA RADIO HIYO ARUSHA.
Naibu
 waziri wa habari Vijana,utamaduni na michezo Juma Nkamia akiwa na Bodi 
ya wakurugenzi wa kampuni ya The blue Triple A Ltd kushoto na kulia  mwa
 naibu waziri Nkamia ni wakurugenzi wa kampuni hiyo mr,na mrs Papaa King
 Mollel wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya naibu waziri kuizundua 
nembo ya kituo cha Radio cha Triple A fm cha jijini hapa wakti wa 
sherehe hizo za uzinduzi wa nembo hiyo  jijini hapa mwishoni mwa wiki 
picha na mahmoud ahmad wa globu ya jamii Arusha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment