KIKOSI
 cha timu ya Young Africans kitashuka dimba la Uwanja wa Taifa siku ya 
jumapili kupambana na Wajelajela, Timu ya Jeshi la Magereza,Tanzania 
Prisons  kutoka jijini Mbeya ikiwa ni mchezo wa pili wa mzunguko wa 
kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2014/2015.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
No comments:
Post a Comment