
Angel Di Maria akiwatoka walinzi wa Leicester dakika ya 16 na kufunga bao la pili kwa Man U ambapo Robin van Persie alitangulia kufunga bao la kwanza dakika ya 13 na kwenda mapumziko wakiwa mbele na ushindi wa bao 2-1.
Mshambuliaji wa Leicester, Leonardo Ulloa akishangilia bao alilofungwa dakika ya 17na kwenda mapumziko Man U ikiongoza kwa bao 2-1.
No comments:
Post a Comment