TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, September 21, 2014

POROJO ZA MARCIO MAXIMO BAADA YA KUCHABANGWA 2-0 NA WAKATA MIWA =MECKY MEXIME ‘HANAGA’ MANENO MENGI…ALIPOMUADHIBU MARCIO MAXIMO 2-0 ALISEMA HIKI HAPA….

YANGA SC imeanza vibaya ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015 baada ya jana kukubali kipigo cha 2-0 katika mechi ya ufunguzi iliyopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro dhidi ya wenyeji Mtibwa Sugar.
Ikicheza mbele ya mashabiki waliofurika kutoka Dar es salaam, Morogoro na mikoa ya jirani, Yanga ilionesha kandanda safi na kupata nafasi nyingi za kufunga, lakini washambuliaji wake walichemsha kuzibadili kuwa magoli.


Kikosi cha Mtibwa Sugar kilichoizamisha Yanga mabao 2-0 jana uwanja wa Jamhuri Morogoro. (Picha kwa hisani ya Globalpublisher)
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
MARCIO Maximo aliwahi kumfundisha kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime akiwa na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.
Mexime kama ilivyo kwa makocha wengine ambao hupenda kuwaadhibu waalimu wao pale wanapokutana wakiwa na majukumu sawa, jana alifanikiwa kumtandika kwa mara ya kwanza Marcio Maximo mabao 2-0 akiiongoza Yanga.

No comments:

Post a Comment