![]()  | 
| wafanyakazi wa mfuko wa pensheni wa PPF leo kabla ya kuanza semina ya mfuko huo kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika(Kanda ya Kinondoni)mkoa wa Tanga jana. | 
![]()  | 
 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga,Salum Chima akizungumza jana wakati 
akifungua semina ya mfuko wa pensheni wa PPF kwa maafisa wa makampuni 
mbalimbali katika (Kanda ya Kinondoni) mkoa wa Tanga.uliofanyika ukumbi 
wa mikutano wa mkuu wa mkoa wa Tanga jana. Picha zote na Oscar Assenga,Tanga.
 Ofisa wa mfuko wa pensheni wa PPF mkoa wa Tanga,Bw.Vanance  akielezea 
namna semina hiyo itakavyofanyika wakati wa ufunguzi wake, 
Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra Kayugwa akizungumza katika semina hiyo jana na picha inayofuatia akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Tanga. 
Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra Kayugwa akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Tanga.   
washiriki
 wa semina hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mfuko wa
 Pensheni wa PPF jana baada ya kufunguliwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa 
Tanga,Salum Chima aliyekaa katikati mwenye koti jeusi kulia ni Meneja wa
 PPF kanda ya Kinondoni,Mkoa wa Pwani  inayojumuisha wilaya ya Kibaha na
 bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra kayugwa 
 maafisa
 kutoka makampuni mbalimbali katika (kanda ya Kinondoni )mkoa wa Tanga 
wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa jana.


No comments:
Post a Comment