Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watoto
baada ya kuzindua harambee ya ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha
Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam Novembe 2, 2014. Kulia
Kwake ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Titus Mdoe na
kushoto kwake ni Askofu Charles Salala wa Kanisa la Afrikani Inland
Church. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment