Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati
alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Novemba 5,
2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji
Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF. Picha na
OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu
Mitaji Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF,
lililofanyika Novemba 5, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR

Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo waliohudhuri ufunguzi huo
wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati
akihutubia. Picha na OMR

akihutubia. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya ufunzi huo
uliofanyika Novemba 5, 2014, kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya ufunzi huo
uliofanyika Novemba 5, 2014, kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment