Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil akitoa
hotuba fupi ya Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera
ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika
Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.
Wadau
wakifuatilia kwa Makini Majadiliano ya maoni kuhusu maoni ya Wadau
kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014
katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi
katika ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya
Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli
ya Livingstone – Bagamoyo.
TAN

Bayport

Kikoa

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, November 5, 2014
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA KUPOKEA MAONI YA WADAU KUHUSU SERA YA TAIFA YA JESHI LA MAGEREZA KATIKA HOTELI YA LIVINGSTONE – BAGAMOYO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment