Mwakilishi Mkazi wa Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH
TZ), Dkt Fatma Kabore(kushoto) akimkabidhi tablet kwa ajili ya mafunzo
ya masafa ya matabibu wasaidizi kwenda kwenye ngazi ya Tabibu
Mkurugenzi wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.
Otilia Gowelle (kushoto) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano
iliyofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa
wizara hiyo. Kituo hicho kimekabidhi tablet 71 zenye thamani ya Sh.
milioni 24 kati hizo 60 zitatumia na wanafunzi wa fani hizo kwenye
vyuo vya Mtwara, Kilosa na Mafinga na nyingine zitatumiwa na wakufunzi. Mwakilishi
Mkazi wa Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH TZ), Dkt
Fatma Kabore(kushoto) akimkabidhi boksi lenye tablet kwa ajili ya
mafunzo ya masafa ya matabibu wasaidizi kwenda kwenye ngazi ya Tabibu
Mkurugenzi wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.
Otilia Gowelle (kulia) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano
iliyofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa
wizara hiyo. Kituo hicho kimekabidhi tablet 71 zenye thamani ya Sh.
milioni 24 kati hizo 60 zitatumia na wanafunzi wa fani hizo kwenye
vyuo vya Mtwara, Kilosa na Mafinga na nyingine zitatumiwa na wakufunzi. Mkurugenzi
wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia
Gowelle (kushoto) akizungumza jambo kuhusu msaada wa vifaa na vitabu
vya miongozo kwa ajili ya mafunzo ya matabibu wasaidizi kwenda kwenye
ngazi ya Tabibu viliovyokabidhiwa kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa
Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH TZ), Dkt Fatma
Kabore(kulia) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika leo
jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo. Mwakilishi
Mkazi wa Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH TZ), Dkt
Fatma Kabore(wa pili kutoka kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa
Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia
Gowelle(wa pili kutoka kushoto). Kulia ni Dkt. Beatus Leon ambaye ni
Mkurugenzi Uimarishaji wa Mifumo ya Afya wa kituo hicho na kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Mafunzo wa wizaya hiyo. picha
ya pamoja kati Mwakilishi Mkazi wa Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na
Elimu( I-TECH TZ), Dkt Fatma Kabore(wa pili kutoka kushoto) na
Mkurugenzi wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.
Otilia Gowelle(wa nne kutoka kulia) wakiwa na watendaji wengine wa
wizara hiyo na kutoka kituo hicho. Mkurugenzi
wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia
Gowelle( kushoto) akizungumza jambo na Mwakilishi Mkazi wa Kituo cha
Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH TZ), Dkt Fatma
Kabore(katikati). Kulia ni Dkt. Beatus Leon ambaye ni Mkurugenzi
Uimarishaji wa Mifumo ya Afya wa kituo hicho na kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi wa Mafunzo wa wizaya hiyo. Mkurugenzi
wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia
Gowelle (kushoto) akipokea vitabu vya miongozo kwa ajili ya mafunzo ya
matabibu wasaidizi kwenda kwenye ngazi ya Tabibu kutoka kwa Mwakilishi
Mkazi wa Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH TZ), Dkt
Fatma Kabore wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika leo
jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.
No comments:
Post a Comment