Mshauri
wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr.James Rugemalira akizungumza na wadau
mbalimbali wa mjini Bukoba wakati wa Promosheni ya bia za Windhoek Lager
na Windhoek Draught katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 tangu
kuanzishwa kwa Kampuni hiyo zilizofanyika Hoteli ya New Coffee Tree Inn
mjini Bukoba leo usiku. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com simu namba 0712-727062)
Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo.
Mrembo huyu mnywaji wa Windhoek naye
alikuwepo kwenye promosheni hiyo.
Meneja Mauzo wa Kanda ya Ziwa, Godfrey Mwangungulu, akielezea ubora wa Bia za Windhoek.
Mdau wa Windhoek akifuatilia matukio yote kwa karibu.
Hakika imependeza.
Mrembo huyu mnywaji wa Windhoek naye
alikuwepo kwenye promosheni hiyo.
Mshereheshaji wa Promosheni hiyo, Andrew Kagya, akiwajibika. |
Mdau wa Windhoek akifuatilia matukio yote kwa karibu.
Hakika imependeza.
Fr.James
Rugemalira (katikati), akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali. Kutoka
kushoto ni Mwanasheria Mwandamizi wa Serikali mkoani Bukoba, Sakina
Husein Sinda,Mganga Mkuu wa Halmsahauri ya Wilaya ya Bukoba, Hamza
Mugura, Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli
zake mjini Bukoba ya KADETFU, Yusto Muchuruza, Mshauri wa Fr.James,
Enic Kashasha na Andrew Kailembo, Mmiliki wa Walkgard Hoteli, Adventina
Matungwa na Dk.Julius Zelothe.
Wanahabari wakiwa kwenye promosheni hiyo.
Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo
Promosheni imenogaaaa.
Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo.
Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli zake mjini Bukoba ya KADETFU, Yusto
Muchuruza,akichangia mada katika promosheni hiyo.
Hapa Windhoe imependezaaa ni tamuuuuuuu
Wadau wakipata kinywaji cha Windhoek katika promosheni hiyo.
Meza kuu hiyoooo,wanachangamkia Windhoek.
No comments:
Post a Comment